Wednesday, August 13, 2014
Thursday, August 7, 2014
Kili Music Tour: FA, AY, Weusi, Izzo B, Prof J, Mavoko na wengine kuzikonga nyoyo za wakazi wa Mbeya Jumamosi hii
Wakazi wa Mbeya wanatarajia
kulishuhudia kwa mwaka mwingine tena joto la Kili Music Tour, Jumamosi
hii, Agosti 9. Kinachofurahisha zaidi ni kuwa wasanii wengi
watakaotumbuiza kwenye show hiyo wana nyimbo mpya na kali ambazo wakazi
wengi wa Mbeya hawajazishuhudia zikitumbuizwa live.
AY
anahit na ngoma yake ‘Asante’, Mwana FA akitamba na ngoma yake ‘Mfalme’
aliyomshirikisha Gnako na Izzo Bizness akiwa na wimbo mpya kabisa,
‘Walalahoi’ huku Weusi wakifanya vizuri na ngoma ya pamoja ‘Gere’ bila
kusahau ngoma binafsi ya Nick wa Pili ‘Staki Kazi’ na ‘I See Me’ ya Joh
Makini.
Kwa upande wake wa Professor J, atawapa wakazi waMbeya ladha
ya live ya nyimbo zake mbili mpya, ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’.
Wasanii wengi watakaotumbuiza ni pamoja na Shilole, Rich Mavoko na
Chibwa.
Kwa
mara nyingine tena Kilimanjaro Premium Lager inaileta kwako Kili Music
Tour 2014 katika viwanja vya New City Pub, Jumamosi Agosti 9. Ni kwa
kiingilio cha buku 3 tu huku mlangoni ukipata Kili ya bure.
Monday, June 9, 2014
Sunday, May 4, 2014
Subscribe to:
Comments (Atom)






